Σύνοψη επεισοδίου
Uigizaji wa Sauti ni Sanaa nyingine inayokua kwa kasi na sasa imeanza kuwalipa waigizaji, Mohamed Kaboba anajivunia kazi hiyo.
Uigizaji wa Sauti ni Sanaa nyingine inayokua kwa kasi na sasa imeanza kuwalipa waigizaji, Mohamed Kaboba anajivunia kazi hiyo.
Επεισόδια
Tanzania: Sanaa ya uigizaji wa sauti na Mohamed Kaboba
ΑκούστηκεUigizaji wa Sauti ni Sanaa nyingine inayokua kwa kasi na sasa imeanza kuwalipa waigizaji, Mohamed Kaboba anajivunia kazi hiyo.
Sanaa ya ushairi na Suleiman Nambwangula
ΑκούστηκεUshairi Jukwaani ni uwasilishaji wa mashairi mbele ya hadhira kwa njia ya sauti, vitendo, na hisia ili kufikisha ujumbe kwa nguvu na mvuto zaidi, Tofauti na ushairi wa kusoma vitabuni, ushairi huu huishi kupitia mtumbuizaji na huchanganya sanaa ya maneno na maigizo.
Sanaa ya uchoraji jijini Dar es salaam naye Nasima yasin Abubakari
ΑκούστηκεUkosefu wa Vifaa vya Uchoraji umechangia Sanaa hiyo kudumaa, sasa wachoraji wanalazimika kuagiza kutoka nchi za nje, Kaguta atafuta ufumbuzi.
Tanzania: Tamasha la marafiki festival mwaka wa 2026
ΑκούστηκεWikendi hii tunaangazia msimu wa saba wa tamasha la marafiki festival. Tamasha linalolenga kutangaza utamaduni wa Tanzania.
Tanzania: Tunaliangazia kundi la Lumumba Theatre
ΑκούστηκεLumumba Theatre ni Kundi la Muziki wa Asili linalochanganya Midundo ya kisasa na ya zamani ili kupata Ladha Mpya, Tunaangazia kundi hilo katika makala ya n yumba ya Sanaa Juma hili.